Msamiati
Jiko, jikoni. Kitchen, in the kitchen
Kijiko, vijiko,. Spoon,spoons
Uma, nyuma. Fork, fork’s
Kisu, visu. Knife,knives
Sufuria, metal cooking pot
Sahani plate,plates
Kikombe, vikombe cup,cups
Chai,sukari, kahawa. Tea,coffee,sugar
Siagi, jibini. butter,cheese
Mkate, mikate. Bread, bread’s
Asali. Honey
Chumvi. Salt
Amina; Mpishi Leo unapika nini?
Mpishi: Napika wali na samaki, najua wewe huli samaki ,nitakupikia nyama.
Amina: Vizuri sana, je wageni wote wamekula samaki umewauliza?
Mpishi: Hapana sikuwauliza,ngoja nitakwenda kuwauliza Sasa hivi.
Amina: Fanya haraka, Sasa ni saa tano tunakula saa ngapi Leo?
Mpishi; Usiwe na wasiwasi chakula kitakua tayari mapema kama kawaida.
Amina; Haya nenda, fanya kazi zako, ukitaka msaada niite,Unasikia.
Mpishi; ndiyo mama