TACTIC project to uplift Mbinga infrastructure

DODOMA: THE government has commenced the implementation of key infrastructure projects in Mbinga District, Ruvuma Region, aimed at improving social services.
Deputy Minister of State, Prime Minister’s Office, Regional Administration and Local Government (PO-RALG) Mr Reuben Kwagilwa told the National Assembly yesterday that funds for the project has already been disbursed.
“Honourable Speaker, the government, with financing from the World Bank, has commenced the implementation of the TACTIC Project in Mbinga Urban Constituency.
The project is currently at the design stage under a consulting engineer known as Botek Bosphorus Technical Consulting Corporation (BOTEC), working in collaboration with Building Design Authority (P) Ltd and Masterpiece Consult Ltd, since 1 June 2025,” he said.
The deputy minister said once the design phase is completed, construction will commence immediately.
He was responding to a basic question posed by Jonas Mbunda (Mbinga Urban- CCM), who wanted to know when will the government begin implementing the TACTIC Project in Mbinga Urban Constituency.
ALSO READ: TACTIC project improves infrastructure, services in Dodoma
Meanwhile, Mr Kwagilwa said the government has completed design of the Mshangano–Legele–Mletele road for construction to tarmac (asphalt) standard, whereby 2.51bn/- will be used for the initial construction of 5.0 kilometres of the road.
He said, currently, the government is continuing to seek funds in order to implement the construction of the road.
“As we await the availability of funds in the 2025/26 Financial Year, the road has been allocated 20m/- for routine maintenance. Furthermore, in the 2026/27 Financial Year, the government plans to allocate 250m/- for maintenance of the road to ensure that it remains passable throughout the year,” he said.
He was responding to a question by Ms Jacqueline Ngonyani (Special Seats), who wanted to know When will the government begin the construction of the Mshangano–Legele– Mletele road, which is 9.2 kilometres long.

MAELEKEZO YA USHIRIKI KWENYE TUZO
VIPENGELE VYA TUZO VINAVYOSHINDANISHWA
Maeneo yatakayotolewa Tuzo kwa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS)
ni:-
1. Tuzo ya SACCOS bora yenye Leseni Daraja A kundi la Kijamii (Overall Best
SACCOS with license Category A – Community Base)
2. Tuzo ya SACCOS bora yenye Leseni Daraja A kundi la Kazini (Overall Best
SACCOS with license Category A – Salary Base)
3. Tuzo ya SACCOS bora yenye Leseni Daraja B kundi la Kijamii (Overall Best
SACCOS with license Category B – Community Base)
4. Tuzo ya SACCOS bora yenye Leseni Daraja B kundi la Kazini (Overall Best
SACCOS with license Category B – Salary Base)
5. Uwezeshaji wa wanawake kwenye huduma za Kifedha zinazotolewa na SACCOS
(SACCOS Women Financial Empowerment)
6. Uwezeshaji wa vijana kwenye huduma za Kifedha zinazotolewa na SACCOS
(SACCOS Youth Financial Empowerment)
7. Uwezeshaji wa huduma za Kifedha kwa makundi ya watu wenye Mahitaji
maalumu (Financing Persons with Disabilities)
8. Uwezeshaji wa huduma za Kifedha kwenye shughuli za kulinda Mazingira, Jamii
na uongozi (Sustainable Financing – ESG)
9. Uwekezaji wa SACCOS kwenye mifumo ya Malipo na Digitali (Financial Payment
System and Digitalization)
10. Ushiriki wa SACCOS katika utoaji wa Elimu na Mafunzo kwa wanachama,
Viongozi na watendaji wake (Education and Training)
VIGEZO VYA KUSHIRIKI
a. Mshiriki lazima awe ni Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS)
kilichosajiliwa kwa mujibu wa taratibu na Sheria ya Vyama vya Ushirika Na.6 ya
Mwaka 2023 pamoja na Kanuni zake za Mwaka 2015. Aidha, SACCOS hizo
zinapaswa kuwa zinaendesha biashara yake kwa kuzingatia matakwa ya Sheria
ya Huduma Ndogo za Fedha Na.10 ya Mwaka 2018 pamoja na Kanuni zake za
Mwaka 2019.
b. Mshiriki anapaswa kutaja JINA LA CHAMA, NAMBA YA USAJILI, NAMBA YA
LESENI, MKOA na WILAYA kinapopatikana pamoja na namba ya Simu ya Meneja.
c. Mbali na utoaji huduma za kawaida, Chama lazima kiwe kinajishughulisha na
utoaji huduma kwenye Eneo la Tuzo linaloshindaniwa.
d. Chama kishiriki kinapaswa kutoa Ushahidi na uzoefu wa huduma husika kwenye
Eneo la Tuzo linaloshindanishwa.
e. Taarifa zitakazowasilishwa zinapaswa kuwa za kweli na zilizothibitishwa na
uongozi na Menejimenti ya chama husika. Kutoa taarifa za uongo ni kwenda
kinyume na matakwa ya Sheria, hivyo chama husika kinaweza kuchukuliwa
hatua za kisheria kwa ukiukwaji huo pale itakapobainika.
TARATIBU ZA KUWASILISHA MAOMBI
a. Chama kinaweza kushiriki kwenye tuzo zaidi ya moja kutegemeana na sifa na
vigezo vilivyopo kwenye tuzo hiyo.
b. Fomu zote zinapaswa kujazwa kikamilifu kwa kuzingatia maelekezo yaliyopo
kwenye JEDWALI na kuwasilisha VIELELEZO pale inapobidi.
c. Vielelezo vyote vya udhibitisho vinapaswa kuwa kwenye mfumo wa PDF
d. Fomu iliyojazwa kikamilifu pamoja na vielelezo vyake, vinapaswa kuwasilishwa
ofisini kwa Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini kupitia Barua pepe hizi:
fcr@ushirika.go.tz
e. Mwisho wa kuwasilisha fomu za ushiriki ni tarehe 26 Agost 2024, Saa tisa na
nusu alasiri (9:30 Alasiri)
f. Kwa maelekezo zaidi wasiliana na:
Sifuel Lyamuya 0716291003 (Mwenyekiti)
Biyaga Nzohumpa 0769190132 (Katibu)

DIBAJI
Mwongozo huu umeandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwa kushirikiana na
taasisi ambazo zinasimamia mfumo wa VICOBA nchini. Lengo kuu la mwongozo huu ni kuwawezesha
Wakufunzi wa mfumo wa VICOBA kufuata kikamilifu hatua zote muhimu katika kufundisha na
kusimamia vikundi vya VICOBA hapa nchini. Aidha, madhumuni ya mwongozo ni kuwasaidia
wakufunzi waliopata mafunzo ya namna ya kuhamasisha, kuunda, kufundisha na kusimamia vikundi
vya VICOBA kufanya kazi zao kwa ufanisi zaidi. Mwongozo huu utawawezesha wakufunzi kuelewa
kwa kina taratibu na muundo ndani ya vikundi vya VICOBA na hivyo kuweza kufikia malengo
yaliyokusudiwa katika kuanzisha na kusimamia vikundi vya VICOBA katika jamii.
Mwongozo huu utatumiwa na mkufunzi yeyote ambaye ameshapata mafunzo ya mfumo wa VICOBA
na utamwezesha kufundisha vikundi vya VICOBA kwa umakini na kusimamia kikamilifu shughuli
za kikundi bila kukiuka taratibu za mfumo huo. Msingi mkuu wa uimara wa vikundi vya VICOBA
unatokana na utaratibu mzuri uliondaliwa katika kusimamia vikundi kuanzia hatua ya uhamasishaji,
uundaji wa vikundi, mafunzo na usimamizi wa shughuli za kifedha na shughuli nyingine za kimaendeleo.
Mwongozo huu utatumika sambamba na miongozo mingine inayolenga kutoa mafunzo mtambuka kama
vile ujasiriamali ili kukidhi matakwa ya kijamii. Mafunzo ya ujasiriamali yatawawezesha wanaVICOBA
kuwa wajasiriamali na kuchangia katika maendeleo ya kiuchumi katika jamii. Hii ni kutokana na ukweli
kuwa vikundi vya VICOBA vimekuwa ni chachu katika kufikisha mafunzo na mipango mbalimbali ya
maendeleo katika jamii. Hivyo, mkufunzi atawajibika kushirikisha vikundi katika mafunzo ya masuala
mtambuka kama usafi, afya, mazingira, maliasili, haki za raia, jinsia na watoto, utawala bora, kilimo na
uzalishaji mali kwa ujumla.
Malengo mahsusi ya mwongozo huu ni:
i. Kuhakikisha hatua zote muhimu katika mafunzo ya vikundi zinafuatwa
ii. Kumrahisishia mkufunzi kupata mtitiriko mzuri wa mafunzo
iii. Kuhakikisha vikundi vya VICOBA vinapata mafunzo sahihi
iv. Kulinda ubora wa mafunzo yanayopaswa kutolewa kwa vikundi
Mwongozo umeeleza historia ya Mfumo wa VICOBA, jinsi unavyofanya kazi, mafunzo ya awali,
uundaji na uendeshaji wa vikundi katika mfumo wa VICOBA, mafunzo yauwekaji akiba, mikopo,
ufungaji wa mzunguko, uongozi, sheria ndogo za vikundi, utatuzi wa migogoro na masuala mtambuka.
Uandaaji wa Mwongozo huu usingefanikiwa kama sio kwa ushirikiano mzuri wa wadau mbalimbali.
Hivyo, shukurani za pekee zinatolewa kwa Programu ya Miundombinu ya Masoko na Huduma za
Kifedha Vijijini (MIVARF) kwa kufadhili uandaaji wa Mwongozo huu. Pia Shukrani kwa Ofisi ya RaisTawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na taasisi wezeshi za VICOBA (VICOBA Promoters) kwa kwa
kutoa mchango mkubwa katika kuandaa mwongozo huu. Taasisi hizo ni pamoja na
KIVINET, PVSDA, UYACODE, VSDA, ASE, AHADIWAY, SEDIT, SELL, VICOBA FETA,
PESCODE, MVITA na FOVSDA. Ili kufanisha upatikanaji wa Mwongozo huu wadau hawa walifanya
yafuatayo:
i. Kushirikishana juu ya changamoto na mafanikio katika utekelezaji wa mfumo wa VICOBA
nchini kulingana na muktadha wa sasa;
ii. Kupitia miongozo mbalimbali ya taasisi wezeshi za VICOBA na kuiboresha ili kutengeneza
mwongozo bora utakaotumiwa na taasisi zote ili kuondoa mikanganyiko katika mfumo wa
VICOBA nchini;
iii. kuchanganua masuala yanayohitaji utafiti zaidi ili kuboresha mfumo wa VICOBA kulingana na
muktadha wa Tanzania ya leo;
iv. Kupanga namna ya kudhibiti mfumo wa VICOBA dhidi ya mafundisho potofu na matapeli
ili kulinda fedha za wanaVICOBA, Serikali na wahisani wenye lengo la kusaidia vikundi vya
VICOBA.