SWAHILI FOR INTERMIDIATE: VOCABULARY

Nyumbani,. at home
Shuleni. at school
Chakula bora. Good, nourishing food
Yai,mayai. egg, eggs
Maziwa,. Milk
mboga,. Vegetable
mchele,wali. rice, cooking rice
Matunda. Fruits(sing,tunda,fruit)
-bichi. Unripe, uncooked
bivu ,. ripe
kuiva,. to be ripe, to be cooked.
safi,. Clean
Usafi,. Cleanliness
chafu,. dirty
kukataza,. to forbid
Karibu na. near by
mbali na,. far away from
ugonjwa,magonjwa,. Sickness, diseases
Japo,. although (also ijapokuwa,
ingawa,ingawaje)
Soko. market
Kutembea walking
Kukimbia running.