SWAHILI FOR INTERMIDIATE: CHUMBA CHA KULALA “THE BEDROOM”
Maneno MUHIMU
Chumba, vyumba room, rooms
Chumba Cha kulala. Bed room.
Kulala. Sleep,to lie down
Kuamka,. to get up,wake up
Kuamsha, to aweken
asubuhi. morning,in the morning
Jioni. Evening,in the evening
Mchana. daytime,during the day
Mchana kutwa. The whole day
Usiku,. Night,at night
Usiku kucha. The whole night
Kitanda,vitanda. Bed,beds
Kitandani, In the bed ,on the bed
Mto,miti. Pillow(s)(also means river)
Gododo, magodoro. mattress(es)
taa,taa ya umeme. Electric lamp
Kuwasha taa. to light a lamp
Kuzima taa. to put out light
Choo,chooni. Toilet,in toiler
Bafu,bafuni. Bathroom,in the bathroom
Kuoga,. to take a bath
Kunawa,. To wash ones hands and face
THE END