Why Russian top varsity honours Tanzania’s Head of State

MOSCOW: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has been awarded an Honorary Doctorate (Honoris Causa) by RUDN University, also known as Patrice Lumumba University, in recognition of her contributions to leadership, diplomacy and social development.
The award was conferred during President Samia’s state visit to Russia, where she has been holding high-level talks aimed at strengthening diplomatic and economic cooperation between Tanzania and Russia.
ALSO READ: Brussels Airline brightens Tanzania’s tourism season with direct flights to KIA
According to the university, the honour also recognises President Samia’s role in enhancing Tanzania’s international profile, advancing reforms in the education sector and promoting economic diplomacy and global partnerships.
The institution noted that her leadership has contributed to strengthening international cooperation and creating opportunities for development through education, innovation and diplomacy.
The recognition further reflects growing ties between Tanzania and international academic institutions, particularly in the fields of higher education, research and social development, while opening new avenues for collaboration between Tanzanian and Russian universities.

Hongera Mama samia kutunukiwa PhD ya heshima akika mungu akutunze
SOMO: MAKENGEZA AU MALIENGE AU MACHO KUMCHUZI
👉Makengeza ni ugonjwa wa macho ambapo macho yanakua na muelekeo tofauti wkt wa kuona kitu yaani jicho moja linaweza likawa linaona mbele hlf lingine unakuta linaangalia kulia au kushoto au juu au chini wkt mtu huyo lengo lake lilikua ni kuona mbele.
Kwanini mtu anapata makengeza?
1.Mtu kuzaliwa na tatizo
2.Kurithi
3.Misuli ya macho kuwa dhaifu na kushindwa kukontroo macho
4.Mtu kupata Ajali kwny macho
5.Mshipa wa fahamu wa kwny macho ambao unasaidia macho kuzunguka pande zote kulia kushoto juu na chini kuharibika
6.Kichwa kujaa maji
7.Surua
Dalili za Makengeza
1.Jicho moja au yote kuwa na muelekeo tofauti
2.Kuona vitu viwili viwili
3.Jicho moja au yote kuwa na kasoro kwny kuona mfano unaweza shangaa unakua unaona mtu kichwa chini miguu juu.
Tiba ya Makengeza
👉Tiba zipo lkn ili tiba iweze kufanyika vzr ni vyema ikafanyika wkt mtt bado mdogo kwny umri chini ya miaka miwili..pia hata km umeshakua mtu mzima unaweza pata matibabu na macho yako yakawa vzr tu.
Madhara ya Makengeza
1.Ubongo unaanza kuacha kupokea taarifa kutoka kwny jicho lenye Makengeza ili kuepuka kuona vitu viwili viwili na Hii inatokea pale mtu asipopata tiba kwa muda mrefu
2.Kupoteza uwezo wa kuona vzr
3.Mtu kushindwa kujiamini mbele za kadamnasi ya watu wengi
4.Mtu kupoteza urembo
Je, unasumbuliwa na Makengeza??
Wasiliana na SOJI MOBILE CLINIC wakupatie ushauri wa kitabibu.
WhatsApp/Call: 0762181457
Instagram: dr_balankumye
Facebook: Andrew balankumye
SOJI MOBILE CLINIC
“Tunajali Afya Yako”

“Tunajali Afya Yako”..

“Tunajali Afya Yako”.