KISWAHILI FOR BEGINNERS: SIJALI AENDA POSTA 2.
We continue with our topic SIJALI AENDA POSTA
Maneno muhimu
Kupeleka simu, kupiga simu to send a telegram,to make a call
Neno Moja ni shilingi Moja,. One word costs one shilling
Kutuma fedha kwa simu,. to send money by telegram
Kwa posta,. by postal order
Nataka kupiga simu. I want to call
Nairobi. Nairobi
dakika tatu ni shilingi Three minutes cost
Kumi. ten shillings
Nipe fomu ya simu,. Give me a telegram form.
Jaza fomu hii hapa. Fill the form here.
Weka sahihi Yako hapa, sign your name here.
Kuna gundi hapa? Is there glue here?
Bahasha za rejesta, envelopes for registered letters
Posta kubwa ipo wapi? where is the main post office?
Posta kubwa Iko mjini It is in town
Unafikaje mjini? How do you get there (town)?
Toka hapa? From here?
Kuna basi kituo Kile pale. There is a bus,the bus-stop is there
Inachukua muda gani? How long does it take to get
Kufika ? there?
Nusu saa au zaidi kidogo, Half an hour or a little more.
Nisaidie chenji, please,some change
End of our topic