Msamiatia
nyama ,nyama mbichi,. meat,raw meat
Mnyama ,wanyama ,. animal,animals
mnyama wa porini,wa-,. wild animal (s)
mbuga ya wanyama,. game reserve.
bustani ya wanyama ,. zoo
Simba,. lion
tembo,. elephant
chui,. eopard
pundamilia,. zebra
Fisi,. hyena,
swala, Impala
sungura hare
kifaru,vi. rhinoceros
kiboko,vi. hippo(s)
nyati,. buffalo
nyani,. monkey(s)
nguruwe,. pig
nguruwe mwitu,. wild pig
mbuni,. Ostrich
twiga,. giraffe
Wanyama wa nyumbani Domestic animals
mbwa, dog
paka ,. cat
mbuzi goat
kondoo, sheep
ng’ombe,. cow,cattle
kuku,. Chicken
punda,. donkey.
farasi, horse.
We will continue with our topic next week.