KISWAHILI FOR BEGINNERS: SHULE YETU

Msamiati,
Shule,shuleni, school,at school
Kusoma,kusomea,. to read,to read for/to
Kuandika,kuandikia,. to write,to write for /to
Kujenga,kujengea,. to build ,to build for/with
darasa,madarasa classroom(s)
Mwanafunzi ,wanafunzi ,. Pupil,pupils
Mvulana,wavulana. boy,boys
Msichana,wasichana. girl,girls
Mstari,mistari. Line,lines
Kagua ,ku-. to inspect
Simama,ku-. to stand up,stop moving
Nywele,nywele safi, hair,clean hair
Nguo,nguo chafu ,. clothes,dirty clothes
Shule ya msingi,. Primary school
Chuo kikuu,. University
Chuo Cha Elimu. College of education
Kifaa,vifaa. Equipment ,materials
Kijiji village
Mtoto,watoto. Children,(s)
Shule yetu Iko katika Kijiji. Kijiji chetu kina watu wengi na wengi wao Wana watoto,katika Kijiji chetu Kila mtoto anakwenda shule ,Shule yetu Ina wavulana na wasichana wengi,lakini wavulana ni wengi zaidi ya wasichana ,wako wasichana mia mbili na sitini,na wavulana ni mara mbili Yao ,je,wako wavulana wangapi?Bila shaka wavulana ni miatano na ishirini,jumla ya watoto wa shule yetu ni mia Saba na themanini.
We will continue with our story of shule yetu next day