TATU NA WATOTO WAKE NYUMBANI
Tatu ni mama,ana watoto wa tatu,mashaka,chausiku,na sijali.Tatu anakaa shamba pamoja na watoto wake ,ana shamba la matunda na mboga ,Tatu anawapa watoto wake chakula bora kila siku:mboga,mayai, matunda,samaki,viazi,mchele,/wali, maziwa na nyama.
Siku moja Tatu alimwona mtoto wake,Mashaka,akila matunda mabichi,akamkataza,kwa sababu si mazuri.Tatu alichukua tunda Moja zuri akampa mashaka,Mtoto huyo alifurahi sana , akasema,”Asante,mama”
Siku nyingine Tatu alikwenda mjini pamoja na watoto wake , Chausiku,Njiani chausiku akipata kiu akataka kunywa maji ya mtindi.Mama yake alimkataza akasema,”Maji ya mtoni sio safi kwa kunywa,Yana vidudu vya magonjwa mbalimbali ,ngoja tufike nyumbani nitakupa maji safi”,japo chausiku alikua anakiu sana hakunywa maji Yale,alingoja mpakà walipofika nyumbani.Tatu anawalea watoto wake vizuri ;ana wafundisha kwa maneno na kwa vitendo pia ,Tatu ni mama mwema.
NYUMBANI; MANENO MUHIMU
Kutandika kitanda, to make a bed
Kupangusa meza, to dust a table
Kuandaa meza. to set a table
Fungua mlango,dirisha, open the door,the window
Funga mlango,dirisha, shut the door,the window
Kufua nguo chafu. to wash dirty clothes
Kupiga deki, to clean the floor
weka chakula mezani. put food on the table
Kuona njaa, kiu,. to be hungry, thirsty
Kusafisha vyombo, to wash dishes
We will continue with our topic next time