SWAHILI FOR INTERMIDIATE: TATU NA WATOTO WAKE NYUMBANI 2.

We will continue with our topic TATU NA WATOTO WAKE NYUMBANI

HADITHI-MSAMIATI

Chuma matunda.                                    Pick fruits

Jikoni.                                                        In the kitchen

Nyani,.                                                         a baboon

Ogopa.                                                         be frightened

mayowe.                                                       Yells

Hodari.                                                           Brave

Fimbo.                                                            Stick

Tatu alikwenda shambani kuchuma matunda ,Alipofika aliona mengine yameiva na mengine hayajaiva,Dada zake, Bahati na Amina,wakitaka matunda,walichuma matunda yote,mabivu na mabichi, matunda mabichi waliyaweka jikoni yaive, matunda mabivu yalilala palepale,walikuwa na njaa,Walipokaa pale shambani alitokea nyani mmoja mkubwa, Mashaka na dada zake waliogopa sana,walikimbilia nyumbani wakilia,”Nyani,Nyani”!Waliposikia mayowe hayo, Mashaka na dada zake , Chausiku na sijali,walitoka nje,Mashaka alikuwa kijana hodari, Alichukua fimbo akaenda shambani kumfukuza nyani yule ,Nyani yule alipomwona Mashaka anakuja na fimbo zake,akakimbia,akaingia porini.

Zoezi

1.Je Tatu ana watoto wangapi?Taja majina Yao

2.Je Tatu anakaa wapi?Anafanya nini?

3.Je vyakula Gani ni Bora

4.Je nani alikuala matunda mabichi,Tatu alifanya nini?

5.Je mtoto alisema nini Alipopewa tunda zuri na Tatu?

6.Je ,kwa nini Tatu alimkataza chausiku kunywa maji ya mto?

7.je nani alichuma matunda

8.Je matunda yote yalikua mabichi

9Je nani alimfukuza nyani

10.je nyani alikwenda wapi

Related Articles

Back to top button