Maji kupwa ;maji kukaa,. low tide;high tide
Maji ya chumvi;. Salt water
Maji matamu,. Sweet water(not salty)
Mvuvi wa samaki,wa-,. Fisherman,-men,
Kusafiri majini,. to sail
bandari;bandarini,. port,at the port
Kutia nanga,nanga, to lower the anchor;anchor
Kung’oa nanga ,. to depart(of ship)
homa ya baharini ,. sea sickness
Meli imezama,. the ship has sunk
Wimbi;mawimbi,. Wave,waves
je,unajua kuogelea? can you swim?
sijui hata kidogo, I can’t swim at all
Nitakufunza kuogelea ,. I will teach you how to swim
Kuogelea ni mchezo mzuri ,. Swimming is a very good game
SI vigumu kuogelea ,. It is not difficult to swim
Unaelea tu,. You just float
jaribu kuogelea hapa,. try to swim here,the water
maji si mengi,. Is not deep
Zoezi
1.Je Tatu alikwenda wapi na watoto wake
2.Je nani aliogopa kuingia baharini?
3.Je Mashaka aliogopa kuingia majini
4.Je nani alijaribu kuogelea